Hayo hatutawaficha wana wao,Huku tukiwaambia kizazi kingine,Sifa za BWANA, na nguvu zake,Na mambo yake ya ajabu aliyoyafanya.