Na uwepo wingi wa nafakaKatika ardhi juu ya milima;Matunda yake na yawaye-waye kama Lebanoni,Na watu wa mjini wasitawi kama majani ya nchi.