Nami nitakushukuru kwa kinanda,Na kweli yako, Ee Mungu wangu.Nitakuimbia Wewe kwa kinubi,Ee Mtakatifu wa Israeli.