BWANA uondoke kwa hasira yako;Ujiinue juu ya jeuri ya watesi wangu;Uamke kwa ajili yangu;Umeamuru hukumu.