Zab. 69:34-35 Swahili Union Version (SUV)

34. Mbingu na nchi zimsifu,Bahari na vyote viendavyo ndani yake.

35. Maana Mungu ataiokoa Sayuni, na kuijenga miji ya Yuda,Na watu watakaa ndani yake na kuimiliki.

Zab. 69