Uniponye kwa kunitoa matopeni,Wala usiniache nikazama.Na niponywe nao wanaonichukia,Na katika vilindi vya maji.