Zab. 68:2 Swahili Union Version (SUV)

Kama moshi upeperushwavyo,Ndivyo uwapeperushavyo wao;Kama nta iyeyukavyo mbele ya moto,Ndivyo waovu wapoteavyo usoni pa Mungu.

Zab. 68

Zab. 68:1-10