Wewe umepaa juu, umeteka mateka,Umepewa vipawa katikati ya wanadamu;Naam, hata na wakaidi, BWANA Mungu akae nao.