Mwambieni Mungu, Matendo yako yatisha kama nini!Kwa ajili ya wingi wa nguvu zako,Adui zako watakuja kunyenyekea mbele zako.