Hutunga maovu; husema, Tumefanya shauri kamili;Na mawazo ya ndani ya kila mmoja wao,Na moyo wake, huwa siri kabisa.