Nafsi yangu itakinai kama kushiba mafuta na vinono;Kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya furaha.