Ee MUNGU, Mungu wangu, nitakutafuta mapema,Nafsi yangu inakuonea kiu,Mwili wangu wakuonea shauku,Katika nchi kame na uchovu, isiyo na maji.