Hakika binadamu ni ubatili,Na wenye cheo ni uongo,Katika mizani huinuka;Wote pamoja ni hafifu kuliko ubatili.