Hata lini mtamshambulia mtu,Mpate kumwua ninyi nyote pamoja?Kama ukuta unaoinama,Kama kitalu kilicho tayari kuanguka,