Zab. 61:1-2 Swahili Union Version (SUV)

1. Ee Mungu, ukisikie kilio changu,Uyasikilize maombi yangu.

2. Toka mwisho wa nchi nitakulilia nikizimia moyo,Uniongoze juu ya mwamba nisioweza kuupanda.

Zab. 61