Na Wewe, BWANA, Mungu wa majeshi,Mungu wa Israeli, uamke.Uwapatilize mataifa yote;Usiwarehemu waovu wafanyao uovu hata mmoja.