Nami nitaziimba nguvu zako asubuhi,Nitaziimba fadhili zako kwa furaha.Kwa kuwa ndiwe uliyekuwa ngome yangu,Na makimbilio siku ya shida yangu.