Zab. 57:6 Swahili Union Version (SUV)

Wameweka wavu ili kuninasa miguu;Nafsi yangu imeinama;Wamechimba shimo mbele yangu;Wametumbukia ndani yake!

Zab. 57

Zab. 57:1-10