Nafsi yangu i kati ya simba,Nitastarehe kati yao waliowaka moto.Wanadamu meno yao ni mikuki na mishale,Na ndimi zao ni upanga mkali.