Unirehemu, Ee Mungu, unirehemu mimi,Maana nafsi yangu imekukimbilia Wewe.Nitaukimbilia uvuli wa mbawa zako,Hata misiba hii itakapopita.