Kwa sababu ya sauti ya adui,Kwa sababu ya dhuluma yake yule mwovu.Kwa maana wananitupia uovu,Na kwa ghadhabu wananiudhi.