Kinywa chake ni laini kuliko siagi,Bali moyo wake ni vita.Maneno yake ni mororo kuliko mafuta,Bali hayo ni panga wazi.