Kumbe! Huyu ndiye mtu yule,Asiyemfanya Mungu kuwa nguvu zake.Aliutumainia wingi wa mali zake,Na kujifanya hodari kwa madhara yake.