Lakini Mungu atakuharibu hata milele;Atakuondolea mbali;Atakunyakua hemani mwako;Atakung’oa katika nchi ya walio hai.