Zab. 51:17-18 Swahili Union Version (SUV)

17. Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika;Moyo uliovunjika na kupondeka,Ee Mungu, hutaudharau.

18. Uitendee mema Sayuni kwa radhi yako,Uzijenge kuta za Yerusalemu.

Zab. 51