Bali mimi, kwa wingi wa fadhili zako,Nitaingia nyumbani mwako;Na kusujudu kwa kicho,Nikilielekea hekalu lako takatifu.