Kama kondoo wamewekwa kwenda kuzimu,Na mauti itawachunga;Watu wanyofu watawamiliki asubuhi;Umbo lao litachakaa, kao lao ni kuzimu.