Naam, ataliona, hata wenye hekima hufa;Mpumbavu na mjinga hupotea pamoja,Na kuwaachia wengine mali zao.