Kama tulivyosikia, ndivyo tulivyoona,Katika mji wa BWANA wa majeshi.Mji wa Mungu wetu;Mungu ataufanya imara hata milele.