3. Mungu katika majumba yakeAmejijulisha kuwa ngome.
4. Maana, tazama, wafalme walikusanyika;Walipita wote pamoja.
5. Waliona, mara wakashangaa;Wakafadhaika na kukimbia.
6. Papo hapo tetemeko liliwashika,Utungu kama wa mwanamke azaaye.
7. Kwa upepo wa masharikiWavunja jahazi za Tarshishi.