Zab. 48:11-13 Swahili Union Version (SUV)

11. Na ufurahi mlima Sayuni.Binti za Yuda na washangilieKwa sababu ya hukumu zako.

12. Tembeeni katika Sayuni,Uzungukeni mji,Ihesabuni minara yake,

13. Tieni moyoni boma zake,Yafikirini majumba yake,Mpate kuwaambia kizazi kitakachokuja.

Zab. 48