Zab. 47:1-3 Swahili Union Version (SUV)

1. Enyi watu wote, pigeni makofi,Mpigieni Mungu kelele kwa Sauti ya shangwe.

2. Kwa kuwa BWANA Aliye juu, mwenye kuogofya,Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.

3. Atawatiisha watu wa nchi chini yetu,Na mataifa chini ya miguu yetu.

Zab. 47