Atapelekwa kwa mfalmeNa mavazi yaliyofumwa kwa uzuri.Wanawali wenzake wanaomfuata,Watapelekwa kwako.