Zab. 44:3 Swahili Union Version (SUV)

Maana si kwa upanga wao walivyoimiliki nchi,Wala si mkono wao uliowaokoa;Bali mkono wako wa kuume, naam, mkono wako,Na nuru ya uso wako, kwa kuwa uliwaridhia.

Zab. 44

Zab. 44:1-7