Ee Mungu, tumesikia kwa masikio yetuBaba zetu wametuambia,Matendo uliyoyatenda siku zao, siku za kale.