Mchana BWANA ataagiza fadhili zake, na usiku wimbo wake utakuwa nami,Naam, maombi kwa Mungu aliye uhai wangu.