Nafsi yangu imeinama ndani yangu, kwa hiyo nitakukumbuka,Toka nchi ya Yordani, na Mahermoni, na toka kilima cha Mizari.