Machozi yangu yamekuwa chakula changu mchana na usiku,Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako.