Watesi wangu hunitukana mithili ya kuniponda mifupa yangu,Pindi wanaponiambia mchana kutwa, Yuko wapi Mungu wako?