BWANA atamlinda na kumhifadhi hai,Naye atafanikiwa katika nchi;Wala usimtie katika hali wamtakiayo adui zake.