Waaibike, wafedheheke pamoja,Wanaoitafuta nafsi yangu waiangamize.Warudishwe nyuma, watahayarishwe,Wapendezwao na shari yangu.