Kwa maana mabaya yasiyohesabikaYamenizunguka mimi.Maovu yangu yamenipata,Wala siwezi kuona.Yamezidi kuliko nywele za kichwa changu,Na moyo wangu umeniacha.