Zab. 39:12 Swahili Union Version (SUV)

Ee BWANA, usikie maombi yangu,Utege sikio lako niliapo,Usiyanyamalie machozi yangu.Kwa maana mimi ni mgeni wako,Msafiri kama baba zangu wote.

Zab. 39

Zab. 39:7-12