Ukae kimya mbele za BWANA,Nawe umngojee kwa saburi;Usimkasirikie yeye afanikiwaye katika njia yake,Wala mtu afanyaye hila.