Haki yako ni kama milima ya Mungu,Hukumu zako ni vilindi vikuu,Ee BWANA, unawaokoa wanadamu na wanyama.