Waaibishwe, wafedheheshwe,Wanaoitafuta nafsi yangu.Warudishwe nyuma, wafadhaishwe,Wanaonizulia mabaya.