Bali mimi, walipougua wao,Nguo yangu ilikuwa gunia.Nalijitesa nafsi yangu kwa kufunga;Maombi yangu yakarejea kifuani mwangu.