Mifupa yangu yote itasema,BWANA, ni nani aliye kama Wewe?Umponyaye maskini na mtu aliye hodari kumshinda yeye,Naam, maskini na mhitaji na mtu amtekaye.