Mpendeni BWANA,Ninyi nyote mlio watauwa wake.BWANA huwahifadhi waaminifu,Humlipa atendaye kiburi malipo tele.