Zab. 28:4 Swahili Union Version (SUV)

Uwape sawasawa na vitendo vyao,Na kwa kadiri ya ubaya wa kufanya kwao,Uwape sawasawa na kazi ya mikono yao,Uwalipe stahili zao.

Zab. 28

Zab. 28:1-8